Skip to main content
Lulu Diva Afunguka Tuhuma za Kumtelekeza Mtoto Wake Kijijini
Msanii wa Bongofleva Lulu Diva ameendelea kuingia kwenye Headlines na hii ni baada ya kusambaa kwa story kwenye mitandao ya kijamii ya kwamba ana mtoto ambaye amemuacha kijijini kwa muda mrefu na kutokana na kumuacha muda mrefu mtoto huyo hamuiti mama ila anamuita Dada.
Comments
Post a Comment