Liverpool Noma Yamchapa Roma Magoli Matano


Liverpool wameibuka na Ushindi kwenye Dimba lao la Anfield, Shughuli inahamia Roma wiki ijayo kwenye Mchezo wa Marudiano Je Roma. Watafanya ‘Come Back’ kama walivyofanya kwa Barcelona au Liverpool watafanya kile walichomfanyia Man City?

Comments