Simba Noma..Yaendelea Kusafisha Njia ya Ubingwa..Yamchapa Mbeya City Jioni yaLeo


Dakika 90 za mchezo wa Simba vs Mbeya City zinamalizika kwa mnyama kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya vijana Green City! - Simba sasa imefikisha pointi 55, tofauti ya pointi 8 mbele ya Yanga ambao wana mchezo mmoja mkononi.

Comments